Nauza shamba bagamoyo,,

1M kwa ekari zote nne? lina document zote? tunaweza kwenda kuliona jumaatano?
 
Naombeni Mnijuze bagamoyo FUKAYOSI kuna tatizo gani mbona kila mtu anauza shamba tena bei ya kutupa, kweli heka 4 kwa 1m, nani hapendi mali, NASEMA KUNATATIZO BAGAMOYO
 
Umbali toka barabara ya lami na Picha tafadhari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…