Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 Jan 31, 2016 #1 Habari wana jf,nauza shamba langu eka 4,shamba lipo maeneo ya mbuyuni barabara kuu iendayo simanjiro,shamba lipo pembeni ya barabara kuu iendayo simanjiro. Shamba lipo umbali wa kilometa 25 kutokea kona ya mbauda,bei kwa eka ni ml 6.
Habari wana jf,nauza shamba langu eka 4,shamba lipo maeneo ya mbuyuni barabara kuu iendayo simanjiro,shamba lipo pembeni ya barabara kuu iendayo simanjiro. Shamba lipo umbali wa kilometa 25 kutokea kona ya mbauda,bei kwa eka ni ml 6.