Nauza Sato wabichi na Sangara

Nauza Sato wabichi na Sangara

TK90

Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
6
Reaction score
2
Nauza Sato na Sangara Jumla kwa Sato kilo moja nauza 6900 na Sangara kilo moja nauza kwa 4800!na kwa reja reja Sato kilo moja 7500 na sangara 5500 nipo Dar kwa mawasiliano nipigie 0658308754.Karibuni sana
 
Wewe dada una matatizo acha kutangaza biashara ambayo hufanyi/huwezi nimempa binamu yangu namba yako kaoda samaki kilo 20 umemletea kilo 6 sasa hiyo ni biashara gani? na umemwambia unapeleka tani moja arusha kila wiki sasa iweje ulete kilo 6 badala ya 20 na alikuwa anataka kufanya biashara na wewe. usituwekee vitu kama huna au huwezi kufanya au unafanya majaribio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom