Nauza satellite dish ya euromax(full set) bei chee

Nauza satellite dish ya euromax(full set) bei chee

mistiqal

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
5
Reaction score
1
habari wana jamii, nina dish langu la euromax ffuti 6 full set( dish + kinga'muzi lina muda wa wiki moja tu lakini inanilazimu kuliuza kwa sababu nimehamishwa kikazi naenda nchi nyingine, linasteshen kibao zikiwemo local channels itv, star tv, tbc e.t.c ambapo haulipii kwa mwezi ni bureeee! naliuza bei chee laki na nusu (dish na king'amuzi ) kwa anaelihitaji ani pm. maboksi yake na makila kitu yapo..
 
Dish la euromax ? kinga'muzi cha Euromax ??? Hebu toa data zenye kueleweka. Maana kwa hivyo vifaa viwili tu 150K ni pesa ndefu.
 
Nipe number yako ya simu tufanye biashara..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom