NAUZA Samsung s3

NAUZA Samsung s3

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Nauza samsung s3 ni original, ipo.kwenye hali nzuri, na haina tatizo.lolote.!! Nipo dar..
Bei ..:: 420,000
kama utakuwa seriouz na biashara ni.pm, text, call and whatsapp me 0785673240
 
Duka gani wanauza Samsung galaxy s3 laki 4 hapa bongo achenii dharau..
 
Bei ya mwisho kabisaaa ndugu yangu ni laki nne kamili,, chini ya hapo sidhani kama biasharaaaaa itafanyikaaa.!!!
 
hapana sio dharau,, tembea then utaambia bei ya hivooo vituuu ni how much!!!

---- ww sasa unataka uza s3 ilokua mikonon kwa laki nne,unazan wabongo ndomwashamba ivo,s3 ishaptwa na fashion mm hata laki mbil stoi ,napata s3 mpya kwa laki 3 na nusu,,watu tunasubir s5 sasa iv ww bado unahangaika na s3 used,kabda hujauza kitu tembea madukan afaut kwanza ,mshamba ww mmachinga
 
thanks.!!! Ubalikiwe kaka.!!!
 
asanteni ndugu ya for support bt my last price ni 400k.. ukiwa na 400k nakuletea popote ulipo in dar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom