Nauza Samsung S3 bei ni nzuri

Nauza Samsung S3 bei ni nzuri

1000 words

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
169
Reaction score
32
Pata samsung s3 kwa bei ya sh. 420,000/= tu. Simu ndo zinaingia leo but izo za ofa ni simu 10 tu ndo kwa 420,000 nyingine bei zetu ni 460,000 tu.

specifications.
screen size 4.8
Ram 1 GB
Internal storage 16 GB
camera 8 MP and 2 MP
rangi zitakua nyeupe, nyeusi na silver

Kwa anayetaka anicheki namba 0716651695.
NB: Simu za ofa ni 10 tu.

SIMU ZOTE NI MPYA NA ORIGINAL
 
Simu ni mpya kabisa na kila kitu unapewa yani ziko full box maana naona watu wanauliza hilo sana nikisahau kusema apo juu
 
zimebaki 6 simu 4 zishakua booked kwa kusambazwa kesho. wahi unaanzaje kukosa ofa hii
 
Ahsanteni sana simu za ofa zimeshaisha nimeshasambaza zote 10 kwa mwenye kuhitaji bei kwa sasa ni 460,000 sio 420,000 tena.
 
mkuu hongera sana ngoja ni save hi namba nikija mjin ntakuchek. C zipo mpaka za 250000? Au.
 
Back
Top Bottom