Nauza Samsung Galaxy Tab A6

Nauza Samsung Galaxy Tab A6

biasharaTz

Senior Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
163
Reaction score
79
Nauza simu yangu yenye sifa zifuatazo wadau
1. Aina: Samsung galaxy Tab A6, 2016
2. Model: SM-T285
3. Ram: 1.5G
4. Os: Android lolipop
5. Network: 2G, 3G, 4G, Wifi
6. Internal Memory: 16GB
7. Camera: 5mp
8. Screen: 8.0 inch
9. Nauza kwa sababu ina crake ktk kioo ila inafanya kazi vizuri sana hakuna tatizo zaidi ya hilo
10. Betri inakaa sana na chaja zaidi ya masaa 6
11. Rangi yake ni ya silver
12. Nimeitumia kwa miezi 3
13. Bei Tsh 370,000 maelewano yapo
14. Inapatikana Kigamboni, Dar es Salaam
15. Hotline: 0659211222, whatsapp inapatikana pia
Picha
IMG-20170829-WA0002.jpg
IMG-20170829-WA0000.jpg
IMG-20170829-WA0003.jpg
IMG-20170829-WA0004.jpg
IMG-20170829-WA0002.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom