Nauza Samsung Galaxy Tab 27 inatumia laini zote

Nauza Samsung Galaxy Tab 27 inatumia laini zote

stymo

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
118
Reaction score
15
Habarini wadau...

Ninauza tableti ya Samsung Toleo la pili, ukubwa wa inchi 7.... Bei ni 390,000/=

Sababu.... Ninazo mbili. Namaanisha nimepata tablet nyingine hivyo hii ndio naiuza

Note muhimu: nimebadilisha OS Na kuweka toleo jipya kabisa la Android 5...a.k.a Lolipop.. Inakaa na chaji zaidi kwani hakuna apps za ajabu ajabu kutoka Samsung.

Serious buyers... Call 0782790034. Kumbuka bei ipo fair so wa kwanza kuleta pesa ndio anaondoka nayo.

Sifa zinginezo: ina GB 16 internal... Pia unaweza kutumia memory kadi. WIFI...WHATSAPP...FACEBOOK NA MENGINE YOTE NDANI... Sifa mingi soma hapa
Samsung Galaxy Tab 2 7.0 P3100 - Full phone specifications

Picha:

ImageUploadedByJamiiForums1429794154.636975.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429794170.688749.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429794183.182211.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429794195.400490.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429794210.018229.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429794221.885342.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429794233.469754.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429794245.707404.jpg
 
izo sababu ulizotoa ni za wewe kuinunua au kuiuza mkuu kama sijaelewa hivi naomba muongozo wako.
 
izo sababu ulizotoa ni za wewe kuinunua au kuiuza mkuu kama sijaelewa hivi naomba muongozo wako.

Nilikuwa namaanisha nina tableti mbili. Nimeedit kuweka sawa hiyo sentence
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom