Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,011
- 142,690
Bei ni laki tatu tu. Karibu PMSimu ipo kwenye hali nzuri kabisa [mint condition].
32GB
Rangi ni platinum gold
Factory unlocked
International version
View attachment 636678 View attachment 636680 View attachment 636681
Bei ni laki tatu tu. Karibu PM
Itafahamika tu wakifika bei.Wewe ndo unauza?
Itafahamika tu wakifika bei.
Mimi nimemsaidia tu Nyanu Ngabu kuweka bei
Sasa kama huwezi kuweka bei.. c amekusaidia [emoji1] [emoji1]Kakuomba umsaidie?
Bei nimemsaidia kuweka mkuu hakujua bei ya kuuza.Bei gani Ngabu?
Naona mnada umeingiliwa.
TehBei nimemsaidia kuweka mkuu hakujua bei ya kuuza.
Ila pia kutoa msaada siyo lazima mtu aombwe. Ni kujitolea tu pale ambapo inabidi
Mi nahitaji mkoba huo.
International version ndo ipoje Mkuu...tafadhali hapo umeniacha highway
[emoji1] [emoji1]Bei nimemsaidia kuweka mkuu hakujua bei ya kuuza.
Ila pia kutoa msaada siyo lazima mtu aombwe. Ni kujitolea tu pale ambapo inabidi
Weka bei mkuu