Nauza samsung galaxy s3 na s2 mpya

Nauza samsung galaxy s3 na s2 mpya

Joined
Jun 17, 2014
Posts
17
Reaction score
8
Galaxy s3 kwa 420000 na s2 300000 mpya ful box wth evrything hazijawah kutumika
 
Attachments

  • Mj 20141025_121640.jpg
    Mj 20141025_121640.jpg
    25.4 KB · Views: 210
Hii simu S2 ilitoka mwaka 2011. Ni vigumu sana kama ni simu original toka samsung wenyewe uniambie toka 2011 hadi leo ilikuwa tu dukani. Sema tu hii ni either clone or refurbished phone lakini kusema original from samsung and brand new, ngumu sana kuamini.
 
kma huitaji o huna hela kaa kimya
 
weka basi na number za simu au jinsi ya kukupata,wengine huku tunapoishi pana watu wengi wanahitaji hiyo kitu
 
Ninauza galaxy s5 original (cloned version) kwa 250'000/= tu. 0716232327.

Wahi sasa.!
 
Naomba kujua nini maana ya(cloned version phone) na (refurbished version phone) kuu liza ni ujinga ila naomba kujua
 
refubrished ni ikiyokuwa na hitilafu ikatengenezwa, clone kwa lugha nyepesi ni ya kichina.... au iliyo chakachuliwa
 
Hii simu S2 ilitoka mwaka 2011. Ni vigumu sana kama ni simu original toka samsung wenyewe uniambie toka 2011 hadi leo ilikuwa tu dukani. Sema tu hii ni either clone or refurbished phone lakini kusema original from samsung and brand new, ngumu sana kuamini.

unachosema kina ukwel asilimia 90 aisee haina haja ya jamaa kupanic ilitakiwa tu atetee biashara yake kivingine...samsung wanatoa models mbalimbali daily kukimbizana na soko so kutoa s2 while demand ni kuanzia s3-s5 inakuwa utata sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom