T Trustworth_man New Member Joined Jan 6, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Jan 6, 2015 #1 Wadau wanaJF Wanajamii nauza Samsung Galaxy note 4 kwa bei ya hasara 1.2 million mana nimenunua 1.45million ..brand new sijafungua bado, nahitaji hii hela kwa sababu ya dharura ya kifamilia Mawasiliano piga simu 0766315158
Wadau wanaJF Wanajamii nauza Samsung Galaxy note 4 kwa bei ya hasara 1.2 million mana nimenunua 1.45million ..brand new sijafungua bado, nahitaji hii hela kwa sababu ya dharura ya kifamilia Mawasiliano piga simu 0766315158
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Jan 6, 2015 #2 1.2m ndo bei yake sokoni mkuu.....sasa ww utauzaje hiyo hiyo tena.....kama ulinunua 1.4m ulishikwa
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 6, 2015 #3 wiseboy said: 1.2m ndo bei yake sokoni mkuu.....sasa ww utauzaje hiyo hiyo tena.....kama ulinunua 1.4m ulishikwa Click to expand... Ukishasikia mtu ana matatizo ya kifamilia usimkatishe tamaa unless km ww huna familia au unatoka katika familia za mfano wa kina Chenge,
wiseboy said: 1.2m ndo bei yake sokoni mkuu.....sasa ww utauzaje hiyo hiyo tena.....kama ulinunua 1.4m ulishikwa Click to expand... Ukishasikia mtu ana matatizo ya kifamilia usimkatishe tamaa unless km ww huna familia au unatoka katika familia za mfano wa kina Chenge,
T Trustworth_man New Member Joined Jan 6, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Jan 6, 2015 Thread starter #4 Asante kwa ushauri ... ila bei nliyonunua ni 1.4 Kama mnunuzi nipigie ..hatuta shindwa elewana. . Nnahitaji hii hela Haraka. .
Asante kwa ushauri ... ila bei nliyonunua ni 1.4 Kama mnunuzi nipigie ..hatuta shindwa elewana. . Nnahitaji hii hela Haraka. .