Nauza samsung galaxy note 3 tsh 830,000

Nauza samsung galaxy note 3 tsh 830,000

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
479
Reaction score
259
Nauza simu hiyo, iko kwenye excellent condition. Inakuja simu tu, no accessories. Kwa mawasiliano zaidi, nichek at 0717301520
 

Attachments

  • IMG-20140327-WA0004.jpg
    IMG-20140327-WA0004.jpg
    49.2 KB · Views: 128
  • IMG-20140327-WA0007.jpg
    IMG-20140327-WA0007.jpg
    67.8 KB · Views: 125
Nauza simu hiyo, iko kwenye excellent condition. Inakuja simu tu, no accessories. Kwa mawasiliano zaidi, nichek at 0717301520

Kaka na note II nahitaj hyo cm so sema nikuongezee sh ngap! Mawasiliano 0718337470
 
We naona una kusudi lako jingine, yani fasta hivo ushaiuza?
Afu simu bila accessories mhh!! isje kua ndo zile la Lost Mode kama za iOS
 
We naona una kusudi lako jingine, yani fasta hivo ushaiuza?
Afu simu bila accessories mhh!! isje kua ndo zile la Lost Mode kama za iOS

Acha woga ww! Bei ilikuwa nzuri, aliyehitaji alishachukua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom