daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
Unauza bei gani? Naihitaji hiyo kitumkuu Ngosha,thats why nlisema bei maelewano...mteja anataja bei then nikiridhika nayo nampa simu.anyway kwa 65k mtu anachukua
Chukua 50,000/=
Kama bado nikupe 60,coz me nipo mbali itabidi kuisafirisha,ni pm namba zako
Hiyo simu imeuzwa au?