The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 966
- 970
- Thread starter
- #21
Ofa ni ile ile 150,000Mimi nina Boss 32" inch. Ilizima taa nikapeleka kwa fundi ikakaa sawa kwa 40k. Baada ya muda ikazima tena sikupeleka tena nikanunua nyingine. Anayehitaji alete ofa yake nimuuzie.
Hapana, hata pungufu unaleta maana situmii ipo tuOfa ni ile ile 150,000
Pungufu kama laki 1 mkuu?Hapana, hata pungufu unaleta maana situmii ipo tu
Nshapata mteja. Asiponunua ndo nitakutafuta.Pungufu kama laki 1 mkuu?
nitumie picha watsap niione 0713096076
kumbe yello masai uliingilia ruti.......Nimejuaa mzigo wangu ndio unasepa kumbe wako daah!.Hapana, hata pungufu unaleta maana situmii ipo tu