Nauza samaki wa mapambo

punguzo kubwa ni elfu tano pair yani jike na dume
 
call me 0712505049
 
Bei ya viambatinisho vyake ni sh ngapi mkuu.
 
Mimi nina tank la kioo la lita 80 gharama za kufungiwa pamp na taa itakuwa kias gani? Na je una aina zote za samaki
taa 25elfu ya rangi tatu napampu si nzuri tumia sponji filter ya elfu 25 & pampu ya elfu 25 So pampu unaichomeka kwenye sponji filter inasafisha maji na kutoa bubles
 
0712505049 nyongeza zipo za kutosha ukinunua pair tano na zaid
 
sawa ntakuja hapo kwasasabu nakufahamu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…