mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,727
Nauza samaki wawili (pair) Gold fish kwa 10000 pamoja na aqrium yake Inakua 20000
Nipo mitaa ya Biashara Complex
One love
Nipo mitaa ya Biashara Complex
One love
Nipatie namba yako ya simu nije niwachukue
akikujibu unistue mkuu..Unweza funga pump kwenye hiyo aquarium halafu uniambie jumla itakuwa bei gani
ukiwa unatoka mjini kabla hujafika daraja la salenda, kituo kinaitwa Pum beach pale pale kituoni upande wa pili kuna duka lao, hapo, wanauza vifaa mbali mbali vya samakiSorry kiongozi, hivi hizi aquarium pump naweza kuzipata wapi kwa hapa Dar
Palm Beachukiwa unatoka mjini kabla hujafika daraja la salenda, kituo kinaitwa Pum beach pale pale kituoni upande wa pili kuna duka lao, hapo, wanauza vifaa mbali mbali vya samaki