Samboko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2011 Posts 5,417 Reaction score 8,047 Dec 13, 2017 #21 Mtoa tangazo kalenga wateja toka kanda ya ziwa kwa hy bei, msimlaumu wakuu, wasukuma watanunua tuu
Gezuz JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 1,010 Reaction score 1,353 Dec 13, 2017 #22 kelvin pella said: Nauza sabufa mpya aborder 160,000/= Bluetooth , usb na mengineyo yote yapo. ahsante. Namba simu : 0652612028 View attachment 650081 View attachment 650081 View attachment 650082 Click to expand... Hivi unijua bei harisi ya hizi makitu kwa hapa dar.....inaonekana upo polini sana asee
kelvin pella said: Nauza sabufa mpya aborder 160,000/= Bluetooth , usb na mengineyo yote yapo. ahsante. Namba simu : 0652612028 View attachment 650081 View attachment 650081 View attachment 650082 Click to expand... Hivi unijua bei harisi ya hizi makitu kwa hapa dar.....inaonekana upo polini sana asee
Erick Kalemela R I P Joined Nov 19, 2017 Posts 814 Reaction score 1,026 Dec 13, 2017 #23 nasmapesa said: Sikukatishi tamaa ila kwa hiyo bei labda watu wa kanda ya ziwa Click to expand... Watu wakanda yaziwa ndo wenye hela au?
nasmapesa said: Sikukatishi tamaa ila kwa hiyo bei labda watu wa kanda ya ziwa Click to expand... Watu wakanda yaziwa ndo wenye hela au?
Erick Kalemela R I P Joined Nov 19, 2017 Posts 814 Reaction score 1,026 Dec 13, 2017 #24 Samboko said: Mtoa tangazo kalenga wateja toka kanda ya ziwa kwa hy bei, msimlaumu wakuu, wasukuma watanunua tuu Click to expand... Duuh!
Samboko said: Mtoa tangazo kalenga wateja toka kanda ya ziwa kwa hy bei, msimlaumu wakuu, wasukuma watanunua tuu Click to expand... Duuh!
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,148 Reaction score 4,323 Dec 30, 2017 #26 mbna bei ghali sana hako si cha 120 mpya ...hiyo output ni watts ngap maana kangu cha laki kamili ni 31w ila kanagonga utazan nina sony explode bass tube
mbna bei ghali sana hako si cha 120 mpya ...hiyo output ni watts ngap maana kangu cha laki kamili ni 31w ila kanagonga utazan nina sony explode bass tube
The Tomorrow People JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,689 Reaction score 2,859 Dec 30, 2017 #27 Ni sub woofer sio sabufa mkuu..
thA goD JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 1,943 Reaction score 1,858 Dec 30, 2017 #28 Laki na sitini au elfu kumi na sita,I think something is messed up her with this puppy.
MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,052 Reaction score 749 Dec 30, 2017 #29 Mpya elf 50 mpk 100,000 tena ukiuliza bei wanakushika kabisa shati kkoo ya sasa si kama ya zamani vyuma vimekaza
Mpya elf 50 mpk 100,000 tena ukiuliza bei wanakushika kabisa shati kkoo ya sasa si kama ya zamani vyuma vimekaza
MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,052 Reaction score 749 Dec 30, 2017 #30 kilambimkwidu said: Ingekua seapeano bas... Click to expand... Juzi tu nimejipatia sea piano mpyaaa! Kwa 100000/=muuzaji alianzia 150000 nikajifanya naondoka akanishika shati nikamshusha mpk hapo
kilambimkwidu said: Ingekua seapeano bas... Click to expand... Juzi tu nimejipatia sea piano mpyaaa! Kwa 100000/=muuzaji alianzia 150000 nikajifanya naondoka akanishika shati nikamshusha mpk hapo