Nauza sabufa mpya aborder 160,000/=

Mkuu hivi vitu jumia wanaviuza bei chee tena kipyaaa na risiti unapata
 
Ww sub ufer unauza kilo na sitini used kwl ...wakati mpya dukan mpaka elf khamsin unapata ....ur. not serious kwa kwl
 
Hio mbao au subufer ya elfu 50 ...acheni ujinga kama hamna hela ni nyie
Ww msukuma wa wapi ww njoo..k.koo nikuuzie acha ubishi....maisha yenyewe magumu,jua kali na makelele ya subufer yanaongeza joto ndani.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…