Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,863
kinaingia kilo ngapi? na kipya dukani kinauzwa bei gani?
Kwanini unauza
nauza NIKAI rice cooker
bei 50,000 tu
bei haipungui
imetumika kidogo
ipo katika hali nzuri
serious buyer only
0762 854 563
kinaingia kilo ngapi? na kipya dukani kinauzwa bei gani?
Dukani elfu 90 mpaka laki inategemea na duka!
Tatizo kitu ukishakitoa dukani tuu,then utangaze unauza lazima itakuwa umeona tatizo.,so mtu atanunua at own risk.
Haina tatizo mkuu imetumika kidogo me nakuuzia ukikuta tatizo njoo nitangaze humu siwezi kuhama humu JF
Hongera sana maana ugari wa ndona unakazi yingi sana mwilini kana kulinda mwili mwili unakuwa imara sana nk