brainstorm007
Member
- Feb 11, 2022
- 61
- 68
FULL BOX
KAMPUNI KENWOOD
BEI 65,000/=
DUKA LIPO MAKUMBUSHO
CALL 0698248323
KAMPUNI KENWOOD
BEI 65,000/=

DUKA LIPO MAKUMBUSHO
CALL 0698248323

FIKA DUKANI UJIONEE MWENYEWE BOSS WANGUZenyewe????
Nikija nakucheki naitaka sana hii ili tugombane vizuri kwenye umemeFIKA DUKANI UJIONEE MWENYEWE BOSS WANGU
Fanya 50k kesho nakuja chap
Yes kama unaijua kampuni yaa kenwood wako vizuriNi OG?
Mkoani unatuma?

Mwaka mpya boss wangu kesho kutwa njoo ila itabidi uongeze kidogoFanya 50k kesho nakuja chap

Sawa boss wangu karibu sana.Nikija nakucheki naitaka sana hii ili tugombane vizuri kwenye umeme

Takucheki kwenye simu, ili kesho kutwa nijeMwaka mpya boss wangu kesho kutwa njoo ila itabidi uongeze kidogo![]()
Mimi mwenyewe nataka ninunue ila nahis nitagombana na wapangaji wenzangu kweny umeme? Au haili umeme sana et?Nikija nakucheki naitaka sana hii ili tugombane vizuri kwenye umeme
Haili boss wangu napia inapika chap sana.Mimi mwenyewe nataka ninunue ila nahis nitagombana na wapangaji wenzangu kweny umeme? Au haili umeme sana et?