Nauza Remote ya king'muzi cha Startimes

Nauza Remote ya king'muzi cha Startimes

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
345
Reaction score
307
Wakuu habari Zenu! King'amuzi Changu kiliharibika ikabakia remote kama kuna mwenye uhitaji anitafute 0655 544 791 bei ni elfu kumi
Asanteni.
 
mi nauza king'amuz aina hyo hyo inatumia antena sio dish
 
Mhh wapelekee startime watakurudishia pesa yako
 
Mtu chake mkuu acha auze imsaidie hata kilo mbili za maharage
 
mboni hivi ving'amuzi kuna kipindi tuliuziwa sh 4000 jumla na remote!
sasa wewe remote pekee wauza elfu 10!
#toroka uje!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom