ninachojua tabia ya Rav 4 NYINGI NI KUSTUKA STUKA KUNAKOSABABISHWA NA KUSUGUANA KWA MENO YA GEAR BOX.Kapi hako mkuu dikembe? Hebu tupe fununu tu maana wengine tunanunua magari kichwa kichwa.
Mkuu ina tatizo lolote ambalo ni muhimu kulifahamu kabla?
Asante sana mkuu, nimekupata. Ila kwa RAV 4 ya model ya zamani ni mpango mzima huo. Hizi new model ni matatizo kabisa.ninachojua tabia ya Rav 4 NYINGI NI KUSTUKA STUKA KUNAKOSABABISHWA NA KUSUGUANA KWA MENO YA GEAR BOX.
Hii haijawahi kupitia tatizo hilo...na hata kama ukipata tatizo hilo linatibika kwa wataalamu pale Ilala, Yuko Fundi Kiokote amebobea kwenye GearBox za magari yenye auto transmission
ni nzuri jamani tusiiache
Bei sh. Ngapi?
8.5 million ...karibu Segerea uje uikague
Mkuu sema bei ya mwisho.
Ni auto au manual?
pamoja sana kamandaAsante sana mkuu, nimekupata. Ila kwa RAV 4 ya model ya zamani ni mpango mzima huo. Hizi new model ni matatizo kabisa.