Aisee umefikiria mbali bro..nlikuwa sijawaza hicho kitu..duuh..!!
imeingia 2012 , nani kasema 2002 ///soma tena tangazo langu pale juu
hapana imeingia 2012 mwezi March
Aisee umefikiria mbali bro..nlikuwa sijawaza hicho kitu..duuh..!!
ni MODEL YA 1997Hapana mkuu nilisoma vibaya tarakimu, ni 2012. Ila nimeulizia atuambie ni model ya mwaka gani kati ya 1995, 1996, 1997,1998 au 1999 ambalo ndilo toleo la mwisho kwa model hizi.
Aisee umefikiria mbali bro..nlikuwa sijawaza hicho kitu..duuh..!!
labda kuna kitu hamuangalii, Hamuoni hizo namba kuwa ni BZK, ukiwa mdadisi zaidi utagundua kuwa CAA ilianza kutoka october au november 2012, NA TANGU WAKATI HUO HADI LEO ndio kwaza tupo CMT kama sijakosea.
ni MODEL YA 1997
Haijaanza kale kamchezo ka RAV4?
Poa mkuu, ni nzuri tu RAV4 ni magari mazuri sana old models. Yaani hakika kama ukipata manual gear basi jua ni mpaka uamue tu kubadili gari but they are durable wakuu. Ya kwako ni manual au automatic?
Haijaanza kale kamchezo ka RAV4?
ina automatic transmission