Nauza Rav4

MWASA78

Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
54
Reaction score
17
Nauza Rav4 kwa Tsh.8.5Milioni ! Serious buyer tuwasiliane kwa 0754880709/0713197585.
ukitaka kuiona gari njoo segerea...
 
Gari imekwenda umbali wa km.142,203.
imeingia Dar mwaka,2012 ikitokea Japan, imelipiwa kodi zote haidaiwi
 
Weka picha basi tuithaminishe...!!
 
Daah Mbna imegongwa upande wa kulia punguza bei mkuu!
 
Gari imekwenda umbali wa km.142,203.
imeingia Dar mwaka,2012 ikitokea Japan, imelipiwa kodi zote haidaiwi

Imeingia 2002 na ina namba za kuanzia B??? Ulikuwa umeiweka wapi ikiwa bado na TZ? Usajili wa magari ulianza kubadili namba muda sana mkuu sasa kwa namba za B??? Hebu tupe ufafanuzi.
 
Imeingia 2002 na ina namba za kuanzia B??? Ulikuwa umeiweka wapi ikiwa bado na TZ? Usajili wa magari ulianza kubadili namba muda sana mkuu sasa kwa namba za B??? Hebu tupe ufafanuzi.

imeingia 2012 , nani kasema 2002 ///soma tena tangazo langu pale juu
 
Umesema iliingia 2002? Usajili imeuwaje ina namba za kuanzia B? Mimi nilikuwa nayo niliingiza 2005 na Number ni T XXXX AXX!!!! Tueleweshe mkuu.

hapana imeingia 2012 mwezi March
 
Imeingia 2002 na ina namba za kuanzia B??? Ulikuwa umeiweka wapi ikiwa bado na TZ? Usajili wa magari ulianza kubadili namba muda sana mkuu sasa kwa namba za B??? Hebu tupe ufafanuzi.
Aisee umefikiria mbali bro..nlikuwa sijawaza hicho kitu..duuh..!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…