B billz949 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 311 Reaction score 73 May 23, 2016 #1 ninauza Rav4 ikiwa katika hali nzuri sana. Gari ni automatic milango mitano AC inafanya kazi vizuri Model ya mwaka 2000 bei ni milioni 8.5 Maelewano yapo.Nitafute tufanye biashara 0656497469
ninauza Rav4 ikiwa katika hali nzuri sana. Gari ni automatic milango mitano AC inafanya kazi vizuri Model ya mwaka 2000 bei ni milioni 8.5 Maelewano yapo.Nitafute tufanye biashara 0656497469
mzee wa busara Senior Member Joined Aug 13, 2011 Posts 181 Reaction score 86 May 23, 2016 #2 Gari ipo mkoa gani?,pia ongeza picha za ndani ya gari na kwenye engine
amiri abdallah matimbwa New Member Joined May 1, 2016 Posts 3 Reaction score 1 May 23, 2016 #3 Sawa ingini kk ndani picha
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,916 May 28, 2016 #4 Umeipiga rangi lini?
B billz949 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 311 Reaction score 73 May 29, 2016 Thread starter #5 Zanzibar Spices said: Umeipiga rangi lini? Click to expand... haijawahi kupigwa rangi wala kupata ajali yoyote
Zanzibar Spices said: Umeipiga rangi lini? Click to expand... haijawahi kupigwa rangi wala kupata ajali yoyote
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,489 Reaction score 6,883 May 29, 2016 #6 Mkuu 5 unachukua ? Kama yes nijib fasta
masatujr1985 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 1,980 Reaction score 788 May 29, 2016 #7 6 M nikuijie inbox fasta mkuu. Pia weka engine na picha za ndani. I need it.
M manchesterunited Member Joined Dec 20, 2015 Posts 21 Reaction score 2 May 29, 2016 #8 Inaonekana vizuri sana imesimama mwenye kununua hii ni gali spare zipo ila atwambie km ngapi mpaka sasa
Inaonekana vizuri sana imesimama mwenye kununua hii ni gali spare zipo ila atwambie km ngapi mpaka sasa
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,916 May 29, 2016 #9 Asante kwa kujibu suala la Rang Haya watu wanataka Km na picha za ndani ikiwemo Engine
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 May 30, 2016 #10 Zanzibar Spices said: Umeipiga rangi lini? Click to expand... Kupiga rangi ni vby? Usijiaibishe bwana, mm gari hua napiga rangi soon niki import gari, just kumake gari look better n in new & free from scratch. Sasa wabongo msha-crem rangi hupigwa baada ya ajali
Zanzibar Spices said: Umeipiga rangi lini? Click to expand... Kupiga rangi ni vby? Usijiaibishe bwana, mm gari hua napiga rangi soon niki import gari, just kumake gari look better n in new & free from scratch. Sasa wabongo msha-crem rangi hupigwa baada ya ajali
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,503 Reaction score 42,575 May 30, 2016 #11 Jerrymsigwa said: Kupiga rangi ni vby? Usijiaibishe bwana, mm gari hua napiga rangi soon niki import gari, just kumake gari look better n in new & free from scratch. Sasa wabongo msha-crem rangi hupigwa baada ya ajali Click to expand... Mkuu umenisusa mkuu.... Siku zinakatika karibu naondoka......
Jerrymsigwa said: Kupiga rangi ni vby? Usijiaibishe bwana, mm gari hua napiga rangi soon niki import gari, just kumake gari look better n in new & free from scratch. Sasa wabongo msha-crem rangi hupigwa baada ya ajali Click to expand... Mkuu umenisusa mkuu.... Siku zinakatika karibu naondoka......
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 May 30, 2016 #12 lusungo said: Mkuu umenisusa mkuu.... Siku zinakatika karibu naondoka...... Click to expand... Mkuu nichek na ile namba +61.........13
lusungo said: Mkuu umenisusa mkuu.... Siku zinakatika karibu naondoka...... Click to expand... Mkuu nichek na ile namba +61.........13