Ni call on 0756 661761 for more details.Mradi wote kiasi gan
Mkuu kuwa muwazi tiririka apa tukijiweza ndio tuje PM wengine PM tunaogopa maTP wengi ssNi call on 0756 661761 for more details.
Sasa mtu ata kutapeli vipi?Mkuu kuwa muwazi tiririka apa tukijiweza ndio tuje PM wengine PM tunaogopa maTP wengi ss
Weka tangazo lako huko huko pm.Hujiamini na bei?Ni call on 0756 661761 for more details.
Nimeweka bei hio bila nguruwe ili MTU asilazimike kuchukua Nguruwe wote Bali achague yeye mwenyewe idadi ya Nguruwe atayependa kwanza nao kwa kuligana na mfuko wake.soko ni kubwa sana bagamoyo mjini wanachukua kilo 80 kila baada ya siku mbili na bado kushuka line ya Tegeta na order za nyumba kwa nyumba.eneo tayari lina maji na umeme.
kwako wewe..nguruwe ni haramu
kwako!nipo hapa keko nimeagiza jamaa aniandalie!nguruwe ni haramu