Gharama yake ni kiasi ganiNina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawili tumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo kiromo.ninauza plot nilipojenga mradi pamoja na mradi wenyewe.Nina vijana wawili wanaosimamia ambao wako wazuri tu na wamiinifu.lengo nauza mwezangu anataka finance ya haraka ya tender nyingine aliyopata na ule ni mradi Wa kusubiri.more info.picha zilikuwa kwenye simu nyingine ilingia virus mpk niende shamba.inbox me if interested in buying the project.
Namuomba kijana mmoja kwaajili ya kuhudumia nguruwe wangu
Hahaaa sureJF never bored kama huna hasira lakini.
Sawa tuwasiliane kwenye namba 0756661761maana ndio anakaribia kurudi mbeya umuwahi mapemaNamuomba kijana mmoja kwaajili ya kuhudumia nguruwe wangu
gharama ni kama ifuatavyo Banda fence tank na maji 13m,eneo 7.5m unaprocessiwa Pmj na hati.total20.5m.option ya kukodisha banda kwa kodi ya laki650 kwa mwezi kwa kupeana mkataba wa mwaka pia inawezekana.Gharama yake ni kiasi gani
Mbona husemi bei? Mpaka watu waulize?? Mbona this is so obvious watu watataka bei? Au unauza kwa mnada?Sawa tuwasiliane kwenye namba 0756661761maana ndio anakaribia kurudi mbeya umuwahi mapema