Habari wakuu
Nauza printer aina ya Epson L800 imetumika miezi 4 tu ipo katika hali nzuri kabisa. Ipo moro ukihitaji unafikishiwa mahali popote ulipo.
Sifa zake ni very economic katika wino, inaprint kwa rangi na black and white, ina print picha za digital hadi ukubwa wa A4, inatoa passport size, ina print cd n.k. kwa wale wanaoijua watakuwa wanajua ubora wa hii mashine.
Any serious buyer anichek pm.
Bei laki 7, ila maelewano yapo.
Kwa dukani bei yake ina range milioni moja kwa sasa.
Epson l800 ni hii.
View attachment 348179
View attachment 348180