Guma Mlugaluga
Member
- Aug 20, 2008
- 98
- 7
Seriously nakiuza, bei utaambiwa ukikiona mwenyewe. Sitaki watu waogope kumbe kiwanja kizuri sana, na sitaki watu wapapatike kumbe si kionjo chao, atakae kitaka seriously, nitamuonyesha na tuongeee beiWeka bei
Seriously nakiuza, bei utaambiwa ukikiona mwenyewe. Sitaki watu waogope kumbe kiwanja kizuri sana, na sitaki watu wapapatike kumbe si kionjo chao, atakae kitaka seriously, nitamuonyesha na tuongeee bei
huyu atakuwa tapeli sio bure why anaogopa kutaja bei??
Wandugu, kama kuna mtu anahitaji kiwanja, kipo Mbezi kwa Yusufu, eneo la Michungwani, kama dakika kumi kwa gari. Kama unahitaji au una jamaa anahitaji, basi piga 0787001207. Serious buyers tu wapige. Hakina dalali. Ukubwa m 25x40. Umeme upo nguzo ipo mpakani mwa kiwanja na barabara. Bei maelewano.
Hakika kunapitika, ni njia nzuri tu, na Majumba mazuri mazuri yamejengwa, ukipaona huruki kaka!Kuna pitika huko na hizi mvua?
Kaka tapeli hawezi kuweka namba za simu, kwa uwa hapo ulipo hata jina langu unaweza kulipata, jifanye unaaka kutuma airtel money, lazima itakwambia unatuma fedha kwa nani! Sijui kama unalifahamu hili. Ila nyie mnaolazimisha bei lazima ni madalali, siku hizi ukijiunga unaongea mpaka basi. Basi beep nikupigiehuyu atakuwa tapeli sio bure why anaogopa kutaja bei??
Bwana Legelege hayo matusi sasa. Beep namba hiyo, mimi nakupigiahuyu atakuwa tapeli sio bure why anaogopa kutaja bei??
Kalasha nauza plot sio gari, picha wapi na wapi?weka bei na picha
kwani hiyo plot haipigiki picha bwana nakaa huko akiweka tu nitajuaKalasha nauza plot sio gari, picha wapi na wapi?
Umenichekesha sana, yaani hapa wanunuzi wa vitu vikubwa hapa JF hamna, wapo wa simu na laptop tuhatuji ng'o...ngastuka machale kundesa:der::der:
Umenichekesha sana, yaani hapa wanunuzi wa vitu vikubwa hapa JF hamna, wapo wa simu na laptop tu
Haya njoo kwa m16. Kila kitu kipo, panafaa kabisa, sema siku gani nikakuonyeshe. Hata uwe Dalali, mimi sijali, ila njoo na m16Hata wauzaji nahisi hawapo... Muuzaji aliye serious angesema bei ya hicho kiwanja..! Wee taja hiyo bei..!