Kama kichwa kinavyojieleza nauza ps3 fat ikiwa complete na pad zake pamoja na games zake
Location ni Mbeya mjini, nicheki pm if interested
Nicheki kwa Whatsapp 0787632064
Mkuu nmeshaupdate ni 250k ambayo haishuki zaid ya hapo na kama upo mkoani natuma kwa gharama yangu yaaani kwenye hiyo 250k utatuma nauli kwanza, nikishaukatia tiketi na kampuni ya basi wakaconfirm na wewe , nakutumia number ya tiketi ndipo unamalizia kiasi kilichobaki.