NAUZA PIKIPIKI YAMAHA 400CC

NAUZA PIKIPIKI YAMAHA 400CC

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Rudia kichwa cha habari nauza pikipiki bei rahisi

Aina ni : YAMAHA
CAPACITY : 400 CC

KWA maelezo zaidi 0777433260/0626544813
Screenshot_2018-10-01-19-11-28-276_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
Screenshot_2018-10-01-19-11-51-477_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
Screenshot_2018-10-01-19-09-12-831_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Weka picha halisi na sio hizo za mtandaoni maana pikipiki iliyotumika hapa mmmmh

Weka bei
Picha niliipiga ila haikutoka vizuri kwani ni usoku ila kwa atakaehitaji nitamtumia kwenye simu yake kwa whatsapp bila ya shida
 
Picha niliipiga ila haikutoka vizuri kwani ni usoku ila kwa atakaehitaji nitamtumia kwenye simu yake kwa whatsapp bila ya shida
Sasa hizo utakazotuma whatsapp si utume hapa au?
 
Ushuru wake kwa huku Tanganyika ni ngapi?

Maana bidhaa kutoka Zanzibar kuleta huku si zinalipiwa tena ushuru?
 
Ushuru wake kwa huku Tanganyika ni ngapi?

Maana bidhaa kutoka Zanzibar kuleta huku si zinalipiwa tena ushuru?
Kwa kweli sina uhakika na suala hili kwa kweli ila nakumbuka kuna jamaa alisafirisha na akalipia kila pamoja na namba ila haikufika 1m ila kwa usawa wa makuguli kwa kweli sijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom