NApishana na pesa, haki ya nani tena.Habari wadau,
Mwaka naona hauniishii vizuri. Nauza pikipiki yangu SANLG SL125-5,
Brand new (bado ipo kwenye nylon zake), haijawahi kuendeshwa (0km), imelipiwa bima kubwa (comprehensive). Ipo tayari kuingia barabarani au kwa matumizi binafsi.
Bei: 1.8M
Mawasiliano: PM
Picha:
View attachment 661619 View attachment 661620 View attachment 661621 View attachment 661622 View attachment 661623 View attachment 661624 View attachment 661625 View attachment 661626 View attachment 661627
Karibuni.
ok ,,..Asante kwa offer, upo chini sana.
Haya ndo majibu ya kibiashara sio nawashangaa sana wanaoshindwa kujibu kama wewe hapa!Asante kwa offer, upo chini sana.
Ulipata mnunuzi humu humu ama?Nashukuru wakuu. Nilifanikiwa kuiuza kwa bei hiyo hiyo ya 1.8M