THE GOD FATHER
Member
- Jul 29, 2015
- 75
- 68
Kwa nn hammalizi matangazo ya biashara zenu?mnauza au mnaturingishia?kwa nn hujaweka bei au unataka ufuatwe pm uwapige kila mtu bei yake?wakuu salaam zetu.
ninauza pikipiki
bei 2.6m
150cc
imetembea 1577km.
automatic
ipo dar,warehouse
Hii pikipiki haijatumika Tanzania.kwa maana hyo bado haijasajiliwa.pikipiki ni imara ,inatulia barabaran ,ulaji wa mafuta mzuri.Nimeitumia mwenyewe muda wa mwezi 1 kabla sijaamua kuileta Tz.imefungwa sport muffler.
mawasiliano nichek watsapp kwa namba +8615622337342,ukiwa serious nakupa namba ya mtu ukaikague warehouseView attachment 467006 View attachment 467007 View attachment 467008 View attachment 467009 View attachment 467006 View attachment 467007 View attachment 467008 View attachment 467009
Hizo spot light umefunga wewe au ndo kiwandani huku kwetu mpinga hataki 30000 kila siku sinawakuu salaam zetu.
ninauza pikipiki
bei 2.6m
150cc
imetembea 1577km.
automatic
ipo dar,warehouse
Hii pikipiki haijatumika Tanzania.kwa maana hyo bado haijasajiliwa.pikipiki ni imara ,inatulia barabaran ,ulaji wa mafuta mzuri.Nimeitumia mwenyewe muda wa mwezi 1 kabla sijaamua kuileta Tz.imefungwa sport muffler.
mawasiliano nichek watsapp kwa namba +8615622337342,ukiwa serious nakupa namba ya mtu ukaikague warehouseView attachment 467006 View attachment 467007 View attachment 467008 View attachment 467009 View attachment 467006 View attachment 467007 View attachment 467008 View attachment 467009
Ungeweka na bei mkuu
Kwa nn hammalizi matangazo ya biashara zenu?mnauza au mnaturingishia?kwa nn hujaweka bei au unataka ufuatwe pm uwapige kila mtu bei yake?
Hizo spot light umefunga wewe au ndo kiwandani huku kwetu mpinga hataki 30000 kila siku sina
Ina spare kweli hapa Bongo kweli?
Mkuu akikujibu naomba nitag.Ina spare kweli hapa Bongo kweli?
Hahahaha jamaa naona na yeye anaisoma namba
Mkuu akikujibu naomba nitag.
Ok sawa.spare lazma zipo ,ila ni kwa dar,coz kuna duka linauza pikipik za model hii mitaa ya posta.
Mkuu samahani sana kwa lugha ambayo siyo ya kiuungwana kweli umeweka bei ni mimi sikuiona nisamehe!mkuu niringishie ili iwaje na usawa huu?😉bei nimeiweka kiongoz sema haujaiona.bei ni 2.6m
Acha uvivu wa kusoma.... We unakimbilia kuangalia picha tu husomi maelezo.. AlaaaUngeweka na bei mkuu
Watu mnakurupuka tu sijui kusoma hamjui.......... Ina maana wewe hiyo bei hapo juu hauioni..... Unaishia kuangalia picha tu. Dah watz shida tupuKwa nn hammalizi matangazo ya biashara zenu?mnauza au mnaturingishia?kwa nn hujaweka bei au unataka ufuatwe pm uwapige kila mtu bei yake?
huu ndio uungwana hongera sana mkuuMkuu samahani sana kwa lugha ambayo siyo ya kiuungwana kweli umeweka bei ni mimi sikuiona nisamehe!
We umesoma una kitu gani?kama kutoona ni kutojua kusoma basi wewe ambaye umesoma huna akili!Watu mnakurupuka tu sijui kusoma hamjui.......... Ina maana wewe hiyo bei hapo juu hauioni..... Unaishia kuangalia picha tu. Dah watz shida tupu