Kk hiyo hailipi bhananikupe
Haya basi ukifika bei hyo ya kakaako mnyonge ni pmKk hiyo hailipi bhana
Niko Mkoani nina 600,000 kama vipi tukubaliane bei nijue jinsi ya kuisafilishaNauza pikipiki ya platina 125
Ina kadi
Ina helmet 2
Ipo gongolamboto, dsm
Mawasiliano: 0625561339
Mkuu nipigie cm tuongee, ila uongeze pesaNiko Mkoani nina 600,000 kama vipi tukubaliane bei nijue jinsi ya kuisafilisha
Ongeza, nipigie cm 0625561339Lak6 mkuu ila iwe njema
Naona unaleta ucomedy kwnye biashara za watu. Siyo lazima uandike kitu pita kimya kimya to brazanipo huku somalia waweza nitumia....itanisaidia kuwakwepa hawa al-shabab
Hailipi hiyo kkMimi nakupa 400000 nipo mbezi
nipo real mzee changamkia dili...Naona unaleta ucomedy kwnye biashara za watu. Siyo lazima uandike kitu pita kimya kimya to braza
Tuma pesa utumiwe huko Somalia, itakusaidia k7 inabullet proof, hivyo hao alshabaab watakukosanipo real mzee changamkia dili...
Documents zipo, haina shidaIna documents zote?
Kwanini unauza mkuu?
Ina tatizo gani
Gongp LA mboto sehem gan?Nauza pikipiki ya platina 125
Ina kadi
Ina helmet 2
Ipo gongolamboto, dsm
Mawasiliano: 0625561339