Nauza pikipiki aina ya SKYMARK bei rahisi

 
poa mkuu nakutumia
huyu mtu hata sio muuzaji , mnajisumbua tuu bure, mi nimeenda mpaka pale africasana hapokei simu , baadae anasema mara hana ufunguo , kesho yake akanambia atanitafuta nilipo aje ubungo , lakini akipigiwa simu hapokei ... nawashauri , mnaonunua pikipiki , plz dont try this , ina mashaka mengi n u will get into trouble
 
Mkuu Nina uhakika na ninachokifanya,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…