Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
Nauza pikipiki aina ya Fekon imetumika miezi 7 tu. Dreva kanizingua naona siwezi tena kuendelea na pikipiki.
Mwenye kuhitaji ani pm tuongee biashara.naishi Mbezi ya Kimara.
Mwenye kuhitaji ani pm tuongee biashara.naishi Mbezi ya Kimara.