KALITHERMAL
Member
- Aug 22, 2013
- 81
- 8
Weka picha mkuu tuone.Wadau,
Photocopy mpya kabisa INAUZA,hutajuta kununua..Imetumika miezi 3 tu...bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.
Kama unaitaka piga 0767205419.
Mahali ilipo;Ubungo Dar es saalam
Asante sana...
Acha kuuza uza vitu wewe..tunza fotokopi hiyo waje kitinia watoto wako
nzuri kweli, ubungo maeneo gani, milioni moja huwezi kuchukua? Maana tayari ni used.
Nzuri kweli, ubungo maeneo gani, Milioni moja huwezi kuchukua? maana tayari ni used.
nafikiri ameweka namba yake sa simu.... Mbananishe huko... Hapa lazima arushe miguu!!