Iyo ni PC au, uliposema nauza PC nikajua ni modern PC with modern graphic , 8 generation . processor . Kumbe toleo la windows 98 , thamani iyo pc haizidi 90. punguza
Fuatilia thread zangu rythm ya maneno yangu na compare rythm ya maneno ya jamaa utaona utofaut.....Nimempongeza jamaa coz kawajibu watu in a way they deserved it and in a way ambayo nsinge wajibu coz huwa sipend kutumia lugha ya ku curse.