Nauza PC

Case clossed! Sihitaji comments kwenye huu uzi.
 
Angalia Sana,
Umeweka 0685047650 hapo, nawaza kuja kama Mteja ikawa shida
Nadhani itakuwa shida kwako.anyway yaishe, naona tunaharibiana siku tu,usijaribu kabisa ,hunijui sikujui.
 
So long as hunijui basi kujaribu naweza, ni swala la uamuzi tu.
 
Hahaaaa! I like this game..! Fika morogoro msamvu tu pale.nenda terminal pub ,ulizia osama, watakuleta.kama wewe mwanaume kweli nakukaribisha sana.namba hiyo hapo ukifika nipigie nakuja. Ole wako usije sasa ...
 
Ha ha ha ha dogo nmepita apo na nmejipa likizo kwa ajili ya Moro so just wait
 
Karibu sana!! Hahahaaa.... Sasa unaniita dogo tena? Ume google wapi? Shikamoo bro! Hahahaaa
 
Iyo ni PC au, uliposema nauza PC nikajua ni modern PC with modern graphic , 8 generation . processor . Kumbe toleo la windows 98 , thamani iyo pc haizidi 90. punguza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka aiweke juu ya nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…