Dharau gan mzee
Nafikir hatujuan umeleta bidhaa nikaweka Bei yangu sasa dharau ipo wap Hapo
Vp huyo aliye Sema ana 50k??
Kama hutak mtu aseme Bei yake baki na mzigo wako
Huwez kunilazimisha nikubali Bei yako
Lazima nitaje yng
Hujui biashara ww
Halafu usifikir kila Anae comment hapa anakaa kwa shemej
Watu wengine tunaishi na familia zetu hao mashemeji Ndiyo tunawaweka mjini
Uwe na adabu kijana
Kama Unafanya biashara Fanya biashara acha matus
Siku zote biashara ni maelewano ningeiona Hiyo PC nikaridhika ningekuongezea hela
Nimnunulie mwanangu
Sasa ww unasema dharau, Nyie vijana mtaweza biashara Kwel kwa kauli za hivi??
Badilikeni, mnafukuza Wateja wenyewe kumbe kauli yako Ndiyo imeharibu
Aya Ndiyo mmeamua kuishi hivo
Kila la kher