Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,910 Reaction score 2,713 Jan 23, 2015 #1 Habari wakuu. Nauza oil filter no 1 za kutoka Thailand. Kila box moja ni laki 3 na kwenye box zinakaa 100. Mabox yapo kumi. Sababu ya kuuza nabadilisha biashara.
Habari wakuu. Nauza oil filter no 1 za kutoka Thailand. Kila box moja ni laki 3 na kwenye box zinakaa 100. Mabox yapo kumi. Sababu ya kuuza nabadilisha biashara.
Visenti JF-Expert Member Joined Jul 24, 2008 Posts 1,025 Reaction score 333 Jan 23, 2015 #2 oil filter moja ni shs 3000/-? hizo ni filter za mashine/magari aina gani?
Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,910 Reaction score 2,713 Jan 23, 2015 Thread starter #3 Visenti said: oil filter moja ni shs 3000/-? hizo ni filter za mashine/magari aina gani? Click to expand... Yap. Moja ni 3000 na ni za magari madogo
Visenti said: oil filter moja ni shs 3000/-? hizo ni filter za mashine/magari aina gani? Click to expand... Yap. Moja ni 3000 na ni za magari madogo
okwili JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 221 Reaction score 35 Jan 24, 2015 #4 Naomba part number ya hiyo oil filter.
Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,910 Reaction score 2,713 Jan 24, 2015 Thread starter #5 okwili said: Naomba part number ya hiyo oil filter. Click to expand... Toyota, Thailand, no. 90915-YZZE1, QTY. 1, engine applicatiön. E-Series, A-seres(exc 4A-G series) , S-series (exc, 3S-GTE) 4K, 5K.
okwili said: Naomba part number ya hiyo oil filter. Click to expand... Toyota, Thailand, no. 90915-YZZE1, QTY. 1, engine applicatiön. E-Series, A-seres(exc 4A-G series) , S-series (exc, 3S-GTE) 4K, 5K.