Nauza nyumba

Nauza nyumba

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
812
ipo ukonga -Mongolandege haikupauliwa kuna uwanja wa kutosha,ipo barabarani,huduma ya maji umeme upo,bei M.15 ni pm kwa mawasiliano zaidi,haina dalali.
 
Kwanini unaiuza kipindi hiki mvua imeshaisha?
 
kuna mto wowote unaopita karibu mkuu?
 
Weka picha kwa ajili ya watu wote. Siyo kumwambia mtu aweke namba za whatsapp umtumie. Kama ulitaka hivyo ungetangaza huko huko whatsapp
mwenye nia anafata vigezo na masharti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom