uncle mjomba
Member
- May 2, 2013
- 28
- 0
Ninauza nyumba ya vyumba vya kulala vitatu master ni self container ina choo na bafu ndani na nje, store, dining na jiko pia kuna nyumba nyingne ndan ya uzio ndogo yenye vyumba vya kupangisha vyote self container na imezungushiwa uzio na geti kubwa nyumba kubwa ni ya matofari block na ndogo matofari ya kuchoma.
gharama ni Mil 80. kwa ambaye yupo tayari tuwasiliane tunaweza ongea namba yangu ni +255656023102. Nyumba ipo MBEYA, RRM karibu na shule ya UWATA kwa wanaopafaham Mbeya vizuri
gharama ni Mil 80. kwa ambaye yupo tayari tuwasiliane tunaweza ongea namba yangu ni +255656023102. Nyumba ipo MBEYA, RRM karibu na shule ya UWATA kwa wanaopafaham Mbeya vizuri