anny gervas
Member
- May 14, 2013
- 27
- 26
Wabongo kwenye kutangaza biashara online ni NEI NEI.Habari wana jf
Nimerudi tena na picha kimfaacho mtu chake nimekumbwa na changamoto kidogo za kuuguza so nimefikia maamuzi haya nauza nyumba ila bado haijaisha
Vyumba 3(viwili master)
Jiko
Sebule
Miguu 40 kwa 40
Store
10m maongezi yapo
Eneo mbagala kwa mbiku(chaboko)2-2.5km kutoka barabarani
SawaWabongo kwenye kutangaza biashara online ni NEI NEI.
Sasa hiyo ni nyumba au pagale?
SureBei nzuri sana watu wachangamkie... Arusha huo uwanja tu ungekua milioni 15
Zingatia neno Mbagala kwa mbiku....Bei nzuri sana watu wachangamkie... Arusha huo uwanja tu ungekua milioni 15
Weka picture.Habari wana jf