illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
hapo ni korido mkuuNingeinunua lakini sijapenda hako kadirisha kadogo
kuna jukwaa la utani ndugu...nauza maisha yamekataaIllegal migrant vipi tena wauza??? Uhamiaji washanusa??
900 sqm vyumba vitatu plus sitting room dining room jiko store public bathroom...nauzw maisha yamekataa kufanya upelelezi ruksaEneo lina ukubwa gani?
Nyumba ina vyumba vingapi?
Kama una mchoro wa nyumba weka hapa.
Kwanini umeamua kuuza?
Inaruhusiwa kufanyiwa ukaguzi na quantity surveyor kabla ya manunuzi?