Nauza nyumba Manyoni mjini

Nauza nyumba Manyoni mjini

noel oga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
277
Reaction score
230
Habari ndugu zangu.Leo nimekuja na nyumba nzuri kwa ajili ya familia.nyumba hii ipo hapa manyoni
Nyumba hii ina vitu vifuatavyo:-
*vyumba vitatu vizuri
*ina sebule nzuri la kutosha
*ina jiko na stoo
*ina public toilets
*ina nafas kubwa kwa nje unayowez kufanya shughuli zako kama ufugaji wa kuku,ngombe na kadhalika ukiachana na parking kama una usafiri wako
*ina fensi ya ukuta na imenakshiwa na urembo pamoja na geti imara kwa ulinzi
*mwisho ina fremu kwa ajili ya biashara
Mapungufu ya nyumba hii:-
*vyumba bado havijawekwa milango
Bei ni maelewano
Tafadhali kwa mawasiliano tuongee kupitia namba
0788-479084 au 0766-205600
20200601_174903.jpg
20200601_165923.jpg
20200601_170223.jpg
 
Tangazo zuriii! Ila kwa kitendo chako tu cha kuweka "bei maelewano" kimeharibu kila kitu. Nadhani bado una muda wa ku edit na kuweka bei ya kuuzia na pia kuruhusu mazungumzo ikibidi, ndipo wenye uhitaji sasa wakupigie.
 
Nawashukuru sana wateja bei yangu nina maana inazungumzika njoo inbox tuzungumze hatuwez kushindwana
 
au tuwasiliane kwa namba hizo.bei yangu ni nzuri sana njoo tuzungumze
 
Brother weka Bei yako ya juu na ndio tukutafute baada ya kujipima ubavu!!! Kwani inakugharimu Nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom