Nauza nyumba maeneo ya mbauda

Nauza nyumba maeneo ya mbauda

Mgito

Senior Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
163
Reaction score
69
0585c9deff3306af4f1ac4ac454dab0c.jpg
ni maeneo ya mbauda ccm opposite na ofisi ya ccm, ziko mbili, moja self na nyingine ya vyumba vitatu kwenye uwanja mmoja, mita 50 kutoka barabara ya Oljoro, maji na umeme vinapatikana, hakuna dalali, muuzaji ni mimi mwenyewe, bei 50M, maongezi yapo, simu 0754817826
 
Sijui kwanini Post za kuuza nyumba Arusha na Moshi watu wanapotezea hawataki hata kuuuliza.
Aitheee mangi wengi hawataki kurudi kwao auuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom