Nauza nyumba ina vyumba sita imeisha ila tu kuezekwa,ila imeezekwa kikawaida vyumba vitatu vinakaliwa,ina frem moja mbele lakini lipo eneo la kuongeza frem zingine nne na eneo lingine la kujenga nyumba ya kama vyumba tano hadi sita.Bei ni million kumi na mbili
Kisewe ni mbele ya uwanja wa TEAM YA AZAM kule chamazi ipo wilaya ya temeke mkoa wa Dar es salaam.Kisewe iko wapi? Weka na picha ukubwa wa eneo document za eneo.
Usalama gani unazungumzia? Labda kama ni kiwanja cha utapeli.Poa wadau!kuhusu picha ntaweka ila document sitaweka kwa sababu za kiusalama.lakini anybody interested,anaweza kunitafuta kwenye namba hii 0627436416/0719963345.
Kweli ni kawaida yetu wa tz ku argue hata kwenye fact.....ndo maana hata ww ume argue kwenye swala la fact. Swali lilikua wazi ni sababu gani za kiusalama???? Unaanza kulialia.Nina uhakika umenielewa sema tu ni kawaida yetu watz Ku argue even the fact
HahahaaaaaMungu wangu! Sasa hivi wimbi la uuzaji wa nyumba ni kubwa kuliko uuzaji wa simu!
Kama mtu una pesa kwa sasa ni wakati wa kuwekeza,kama hali ya uchumi ikija kutengemaa utakuwa wakati wa mavuno.
hati kwa maana ya title deed au mkataba wa serikali ya mtaa/kata?
Na mimi nilimaanisha kujua hilo mkuuhati kwa maana ya title deed au mkataba wa serikali ya mtaa/kat?