LIGANGALEO
Member
- Mar 10, 2014
- 19
- 1
Wana JF
Nimerudi tena kutangaza kuuza nyumba hii (Unfinished House kwa bei nafuu sana.Nyumba ina hati na ipo Madale. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry na Chumba kimoja chini chenye choo na bafu ndani pamoja na Public Toilet ya kawaida hususani kwa wageni.
Ramani ya juu kuna VIP Lounge,Study Room, Master Bed Room na vyumba vingine viwili vinavyojitegemea kwa choo na bafu. Ukubwa wa eneo ni Square Meter 1203.Bei naanza na Ml.125 tu maongezi yapo.Wanajamvi karibuni kwa maongezi
0786 294545
NB:Nia ya kuuza ni kupata pesa ili niingize kwenye Kilimo ikiwa ni pamoja na maandalizi ya kumng'oa Mbunge mmoja MZIGO huko kwetu Songea mwaka 2015.