Dear JF members/visitors,
Napenda kuwashukuru kwa uaminifu wenu kwangu mdau mwenzenu hapa JF, hii ni mara ya pili naitumia vema JF katika kutafuta bidhaa na kuuza property tena kwa uaminifu kwa members wenzangu.
Naiarifu thread yangu hii kuwa 'TAYARI NIMESHAUZA PROPERTY HII KWA MEMBER MWENZETU HAPA JF'.
Kwa mara ya kwanza najitokeza kuushukuru uongozi na moderators wa column hii, Mola ailinde na aifanye JF iwe ni sehemu muhimu, yenye uhakika, yenye kuaminika na tuitumie vema kwa kuipenda. Naimani sote tukiwa makini na kujiaminisha, hakika JF itavuka hapa ilipo na kuwa ni zaidi ya chombo muhimu hususan hapa kwetu Tanzania. Hivyo napenda kuwaarifu wadau wote wa JF, kuwa biashara hii tayari NIMEIFUNGA/IMEKWISHA.
Long Live JF & the entire leadership.
Mpevu.